Mwanzo 41 : 15 Genesis chapter 41 verse 15

Mwanzo 41:15

Farao akamwambia Yusufu, Nimeota ndoto, wala hakuna awezaye kunifasiria; nami nimesikia habari zako, ya kwamba, usikiapo ndoto, waweza kuifasiri.
soma Mlango wa 41

Genesis 41:15

Pharaoh said to Joseph, "I have dreamed a dream, and there is no one who can interpret it. I have heard it said of you, that when you hear a dream you can interpret it."
read Chapter 41