Mwanzo 3 : 23 Genesis chapter 3 verse 23

Mwanzo 3:23

kwa hiyo Bwana Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa.
soma Mlango wa 3

Genesis 3:23

Therefore Yahweh God sent him forth from the garden of Eden, to till the ground from whence he was taken.
read Chapter 3