Mwanzo 29 : 34 Genesis chapter 29 verse 34

Mwanzo 29:34

Akapata mimba tena, akazaa mwana, akasema, Basi wakati huu mume wangu ataungana nami, kwa sababu nimemzalia wana watatu. Kwa hiyo akamwita jina lake Lawi.
soma Mlango wa 29

Genesis 29:34

She conceived again, and bare a son. Said, "Now this time will my husband be joined to me, because I have borne him three sons." Therefore was his name called Levi.
read Chapter 29