Mwanzo 24 : 67 Genesis chapter 24 verse 67

Mwanzo 24:67

Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mamake.
soma Mlango wa 24

Genesis 24:67

Isaac brought her into his mother Sarah's tent, and took Rebekah, and she became his wife. He loved her. Isaac was comforted after his mother's death.
read Chapter 24