Mwanzo 24 : 17 Genesis chapter 24 verse 17

Mwanzo 24:17

Ndipo yule mtumishi akapiga mbio kwenda kumlaki, akasema, Tafadhali unipe maji kidogo katika mtungi wako ninywe.
soma Mlango wa 24

Genesis 24:17

The servant ran to meet her, and said, "Please give me a drink, a little water from your pitcher."
read Chapter 24