Mwanzo 22 : 5 Genesis chapter 22 verse 5

Mwanzo 22:5

Ibrahimu akawaambia vijana wake, Kaeni ninyi hapa pamoja na punda, na mimi na kijana tutakwenda kule, tukaabudu, na kuwarudia tena.
soma Mlango wa 22

Genesis 22:5

Abraham said to his young men, "Stay here with the donkey. The boy and I will go yonder. We will worship, and come back to you.
read Chapter 22