Mwanzo 22 : 1 Genesis chapter 22 verse 1

Mwanzo 22:1

Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa.
soma Mlango wa 22

Genesis 22:1

It happened after these things, that God tested Abraham, and said to him, "Abraham!" He said, "Here I am."
read Chapter 22