Mwanzo 12 : 6 Genesis chapter 12 verse 6

Mwanzo 12:6

Abramu akapita katikati ya nchi mpaka mahali patakatifu pa Shekemu; mpaka mwaloni wa More. Na Wakanaani siku zile walikaa katika nchi hiyo.
soma Mlango wa 12

Genesis 12:6

Abram passed through the land to the place of Shechem, to the oak of Moreh. The Canaanite was then in the land.
read Chapter 12