Kumbukumbu la Torati 12 : 19 Deuteronomy chapter 12 verse 19

Swahili English Translation

Kumbukumbu la Torati 12:19

Jilinde nafsi yako usimwache Mlawi siku zote uishizo katika nchi yako.
soma Mlango wa 12

Deuteronomy 12:19

Take heed to yourself that you don't forsake the Levite as long as you live in your land.