Danieli 2 : 14 Daniel chapter 2 verse 14

Swahili English Translation

Danieli 2:14

Ndipo Danielii kwa busara na hadhari akamjibu Arioko, akida wa walinzi wa mfalme, aliyekuwa ametoka ili kuwaua wenye hekima wa Babeli;
soma Mlango wa 2

Daniel 2:14

Then Daniel returned answer with counsel and prudence to Arioch the captain of the king's guard, who was gone forth to kill the wise men of Babylon;