Danieli 10 : 7 Daniel chapter 10 verse 7

Swahili English Translation

Danieli 10:7

Nami, Danielii, nikaona maono haya peke yangu; maana wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona maono haya; lakini tetemeko kuu liliwashika, hata wakakimbia ili kujificha.
soma Mlango wa 10

Daniel 10:7

I, Daniel, alone saw the vision; for the men who were with me didn't see the vision; but a great quaking fell on them, and they fled to hide themselves.