Yoshua 5 : 5 Joshua chapter 5 verse 5
Swahili | English Translation |
---|---|
Yoshua 5:5
Kwa kuwa watu wote waliotoka walikuwa wamekwisha kutahiriwa; lakini watu wote waliozaliwa katika bara njiani walipokwisha kutoka Misri, hao hawakutahiriwa.
|
Joshua 5:5For all the people who came out were circumcised; but all the people who were born in the wilderness by the way as they came forth out of Egypt, they had not circumcised. |