Mwanzo 17 : 27 Genesis chapter 17 verse 27
Swahili | English Translation |
---|---|
Mwanzo 17:27
Na watu wote wa nyumba yake, wazaliwa nyumbani, na wanunuliwa kwa fedha katika mkono wa mgeni, wakatahiriwa pamoja naye.
|
Genesis 17:27All the men of his house, those born in the house, and those bought with money of a foreigner, were circumcised with him. |