Mwanzo 17 : 25 Genesis chapter 17 verse 25

Swahili English Translation

Mwanzo 17:25

Na Ishmaeli mwanawe alikuwa mtu wa miaka kumi na mitatu, alipotahiriwa nyama ya govi lake.
soma Mlango wa 17

Genesis 17:25

Ishmael, his son, was thirteen years old when he was circumcised in the flesh of his foreskin.