2 Mambo ya Nyakati 28 : 7 2nd Chronicles chapter 28 verse 7

Swahili English Translation

2 Mambo ya Nyakati 28:7

Naye Zikri, mtu hodari wa Efraimu, akawaua Maaseya mwana wa mfalme, na Azrikamu mkuu wa nyumba, na Elkana, aliyekuwa wa pili wake mfalme.
soma Mlango wa 28

2nd Chronicles 28:7

Zichri, a mighty man of Ephraim, killed Maaseiah the king's son, and Azrikam the ruler of the house, and Elkanah who was next to the king.