1 Mambo ya Nyakati 28 : 5 1st Chronicles chapter 28 verse 5

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 28:5

tena katika wana wangu wote (kwani Bwana amenipa wana wengi), amemchagua Sulemani mwanangu ili aketi juu ya kiti cha enzi cha ufalme wa Bwana, juu ya Israeli.
soma Mlango wa 28

1st Chronicles 28:5

Of all my sons (for Yahweh has given me many sons), he has chosen Solomon my son to sit on the throne of the kingdom of Yahweh over Israel.