Kijito Cha Utakaso

Mp3

Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu (The cleansing river is the Blood of Jesus)
Bwana anao uwezo kunipa wokovu (The Lord has the authority to grant me salvation)
Viumbe vipya naona, Damu ina nguvu (I see new beings, the Blood is powerful)
Imeharibu uovu, uliyo dhulumu (It has destroyed the evil that harm) .

Refrain:
Kijito cha utakaso (The cleansing river)
Nizame kuoshwa humo (That I may be immersed and cleansed there)
Namsifu Bwana kwa hiyo (I praise the Lord because)
Nimepata utakaso (I have received the cleansing) (Repeat) .

Naondoka kutembea, nurudi mwa mbingu (I have left to walk, returning towards the heavens(?))
Na moyo safi kabisa kumpendeza Mungu (With a clean heart that pleases God)
Ni neema ya ajabu kupakwa na damu (What a great Grace to be anointed by the blood)
Na Bwana Yesu kujua Yesu wa msalaba (Of The Lord, and to know Jesus of the Cross!) .

Kijito cha utakaso (The cleansing river)
Nizame kuoshwa humo (That I may be immersed and cleansed there)
Namsifu Bwana kwa hiyo (I praise the Lord because)
Nimepata utakaso (I have received the cleansing) (Repeat)


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Kijito Cha Utakaso:

35 Comments/Reviews

 • Daniel Sungi

  Ni wimbo unaoponya,kufariji na kuleta tumaini jipya la wokovu ndani ya vilindi vya moyo! Ni wimbo unaomfanya mtu kunyenyekea na kuwa karibu na Mungu kwa Toba.Nabarikiwa sana na wimbo huu! 1 day ago

 • David Meja

  It is always a blessing and motivation to give me hope and more energy spiritually. 2 weeks ago

 • Eunice

  What asong it really blesses my soul God bless you
  2 months ago

 • Joyce K

  The song is a blessing to my heart 2 months ago

 • Joyce K

  The song is a blessing to my heart. God blessings be upon you 2 months ago

 • Dyness Misango

  This song is a blessing to me, 3 months ago

 • John Kidali

  Naondoka kutembea, NURUNI HAPANA NARUDI mwa mbingu (I have left to walk, returning towards the heavens(?) 4 months ago

 • Julius Rapala

  PERFECT 4 months ago

 • A Healing To My Soul

  A song for healing my soul,wonderful 5 months ago

 • Edwin Otieno

  I like the song it bring joy to my hrt 6 months ago

 • Load More Comments