Umejua Kunifurahisha

Umejua Kunifurahisha Lyrics

Joel Lwaga:
Baba umejua kunifurahisha 
Baba umenifuta machozi 
Daddy oh, umejua kunifurahisha 
Baba nitakusifu milele  .

Umerudisha tabasamu langu usoni 
Umerejesha na furaha yangu moyoni 
Umenijibu kwa wakati nisiyodhani 
Baba umejua kunifurahisha 
Niliyeitwa sina maana 
Nimefanyika baraka 
Niliyeonekana sifai, umeniheshimisha 
Umenipa sababu ya kujijali 
Yakukutukuza aah 
Baba umejua kunifurahisha  .

Baba umejua kunifurahisha 
Baba umenifuta machozi 
Daddy oh, umejua kunifurahisha 
Baba nitakusifu milele  .

Chris Shalom:
Father to the fatherless 
Look at what you've done for me 
You wipe my tears from my eyes 
Look at what you've done for me 
The chains and shackles that held me down 
You've got it out of me 
Oh what a life, beautiful life given me 
Baba umejua kunifurahisha 
Baba nitakusifu milele  .

Baba umejua kunifurahisha 
Baba umenifuta machozi 
Daddy oh, umejua kunifurahisha 
Baba nitakusifu milele x2  .

Ooh umejua kunifurahisha (Babaa) 
Umejua kunifurahisha (Babaa) 
You've taken away the pain (Babaa oh) 
Umeondoa huzuni yangu (Babaa oh)
... .


Share:

Write a review/comment of Umejua Kunifurahisha :

1 Comments/Reviews

 • Peter

  Mtumish unanigusa sana wimbaj wako, Hakka umekuwa bombastck kwa uimbaji we in wakuigwa barikiwe sana
  9 months ago


 • Joel Lwaga

  @joel-lwaga

  Bio

  View all songs, albums & biography of Joel Lwaga

  View Profile

  Bible Verses for Umejua Kunifurahisha

  No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

  Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music