(leader)
Mfalme Mwema,Mwaminifu
Baba Mweza yote
Una nguvu Haushindwi
Pokea utukufu
(all)
Mfalme Mwema,Mwaminifu
Baba Mweza yote
Una nguvu Haushindwi
Pokea utukufu
(all)
Twakupa
Heshima na sifa zote
Ewe Mungu
Umetukuka
Twakupa
Heshima na sifa zote
Ewe Mungu
Umetukuka
Mtakatifu , mtakatifu
Bwana wa majeshi
Dunia Yote imejawa
na utukufu wako
Mtakatifu , mtakatifu
Bwana wa majeshi
Dunia Yote imejawa
na utukufu wako
Twakupa, Heshima na sifa zote
Ewe Mungu, Umetukuka
Twakupa, Heshima na sifa zote
Ewe Mungu, Umetukuka
Ewe Mungu, umetukuka
Ewe Mungu, umetukuka
Ewe Mungu, umetukuka
Ewe Mungu, umetukuka
Umetukuka ...
Write a review/comment/correct the lyrics of Umetukuka - Mtakatifu:
Great work 1 year ago
My all time worship song.... 1 year ago
This song ???????????????? Be blessed Israeli.... My all time favorite song 1 year ago
true worship God bless .it touch's many soul 1 year ago
wimbo umenibariki sana . Yaani nmeinuliwa tu kwa kuusikia. Mungu akusidishie nyimbo nyingi sambuli hiyo ndugu yangu. 1 year ago
I love this song to moon and back!!really blesses me!....God bless you mtumishi Israel!.. You are blesd 1 year ago
very blessing to me,very inspiring song,let God receive all the praises 1 year ago
The song really blessed me alot keep up mtumishi na Mungu akupe maisha marefu ili uzidi kutubariki kwa nyimbo zaku sifu. 1 year ago
Leading to sincere worship 1 year ago
Am realy blesed with the song Amen 1 year ago