Erick Smith - Wewe ni zaidi Lyrics

Wewe ni zaidi Lyrics

Ninashangaa nikielewa
Wewe ni zaidi ya vile nilivyoambiwa juu Yako
Tena sauti Yako, Baba yanizidia,
Sauti zote ninazosikia

Yale umetenda Baba, yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema Baba yote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo

Yale umetenda Baba, yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema Baba yote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo

Nimejipata ndani ya upendo wako,
Umekua kwangu mapumziko
Neema yako yanitosha,
Nikiwa nawe mimi niko huru.

Yale umetenda Baba, yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema Baba yote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo

Wewe ni Mungu mkuu,
Mfalme wa wafalme,
Muumba wa mbingu na nchi,
Heshima zote ni zako bwana,
Hakuna kama wewe

Yale umetenda Baba, yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema Baba yote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo

Yale umetenda Baba, yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema Baba yote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo


Wewe ni zaidi Video

Wewe ni zaidi  Lyrics -  Erick Smith

Erick Smith Songs

Related Songs