Lango Lyrics - Dr Ipyana
Dr Ipyana swahili
Chorus:
Lango ndiye yesu Bwana
Lango lango lango
La mbinguni ni wazi
Lango Video
Lango Lyrics
Ninayo furaha ndani ya msalaba
Nina hamu kuwa uweponi mwa Bwana
Ninayo furaha ndani ya msalaba
Nina hamu kukaa uweponi mwa Bwana
Msalaba ndio asili ya wema
Nitatua mzigo hapo
Nina uzima furaha daima
Njooni mkafurahini hapo
Sioni haya kwa Bwana
Kwako ninang'ara
Mti sikatana
Ni neno imara
Lango ndiye yesu Bwana
Lango lango lango
La mbinguni ni wazi
Hima ndugu tuingie
Lango halijafungwa
Ikifungwa mara moja
Halitunguliwa
Lango ndiye yesu Bwana
Lango lango lango
La mbinguni ni wazi