Wewe ni Mungu, mpasua bahari
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .
Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
(rudia toka juu)
Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi toa
(rudia)
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .
Si mwepesi wa hasira
Unaghairi mabaya
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .
Mungu mwenye wivu
Unatunza maagano
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .
Katikati ya gadhabu
Unakumbuka rehema
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .
Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi kutoa
(rudia x4)
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Write a review/comment/correct the lyrics of Haufananishwi:
I love this song..Anatoa faraja ambayo mwanadamu hawezi 1 year ago
Nyimbo nzuri sana unatoa faraja Amani kwa wote 1 year ago
An inspiration song love it 1 year ago
Wimbo uko ungunzo wa roho mtakatifu, 1 year ago
An inspiration song to God be the glory 1 year ago
It is a nice song. It is gadhabu n not dhahabu 1 year ago
Corrected already.
Great inspiration am really moved by the worship 1 year ago
This song makes me cry ..its true
Theres a God in heaven 1 year ago
I love the song very much me the Lord bless you 1 year ago
I love this song with all my heart its a powerful song 1 year ago