Baba Tunasogea

Baba Tunasogea Lyrics

Baba tunasogea, Baba tunasogea 
Chini ya miguu yako 
Baba tunasogea  .

Baba tunasogea, Baba tunasogea 
Chini ya miguu yako 
Baba tunasogea  .

Kama mwanamke aliyetokwa na damu 
Alisogea chini yako 
Akaguza vindo la vazi lako, damu ikakauka 
Nasi twasogea chini chini yako 
Sema neno moja maisha yetu yapone  .

Baba tunasogea, Baba tunasogea 
Chini ya miguu yako 
Baba tunasogea  .

Hakuna aliyekuja mbele zako akatoka na kilio 
Yeyote aliyekuja kwako Bwana alitoka na furaha 
Nakumbuka Hanna ekaluni alivyosogea chini yako 
Akatoka na Samweli, Ibrahimu na Isaka 
Na mimi nasogea chini yako najua hutaniacha 
mikono wazi, Nakuja mbele zako Bwana 
Sema neno moja  .

Baba tunasogea, Baba tunasogea 
Chini ya miguu yako 
Baba tunasogea  .

Kama Zakayo alivyopanda juu ya mti ukamwona 
Ukamwambia Zakayo shuka upesi chini yako 
Nasi twasogea chini chini yako 
Ili wokovu wako uingie nchini mwetu 
Nasi twasogea chini chini yako 
Ili furaha yako iingie manyumbani mwetu   .

Baba tunasogea, Baba tunasogea 
Chini ya miguu yako 
Baba tunasogea 
...


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Baba Tunasogea:

0 Comments/Reviews


24 Elders Top Songs

Bible Verses for Baba Tunasogea

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section