Sifa Music - Bwana ni Nguvu yangu Lyrics

Bwana ni Nguvu yangu Lyrics

Bwana ni nguvu yangu,
Na Ngao yangu
Wokovu wangu

Pazeni Sauti,
Shangwe na nderemo
Tumshangilie ehhh….,
Yesu ni wetu

Milele na milele,
Amemshinda shetani,
Tumshangilie ehhh
Bwana ni wetu


Bwana ni Nguvu yangu Video

Bwana ni Nguvu yangu Lyrics -  Sifa Music

Sifa Music Songs

Related Songs