Bwana Mungu Nakuomba Sasa

Kenyan SifaMusic

Watch Video for Bwana Mungu Nakuomba Sasa

Read lyrics while watching

Bwana mungu nakuomba sasa, unifanye kuwa kama upendavyo.
Maana wewe ni muweza wa yote ,
Unifanye kuwa kama upendavyo.

Nifinyange' nifinyange
Unifanye kuwa kama upendavyo.

Niongo-ze, niongoze
Unifanye kuwa kama upendavyo.

Nibariki, nibariki
Unifanye kuwa kama upendavyo.

@ Nifinyange - Sifa Lyrics

Translation
God I pray thee now, make me be as you wish
Because you are able, make me be as you wish

Tags: Awesome, Sifa Lyrics

Other songs by Kenyan,

Tunainua Mikono yetu wewe Watosha
Anza Vyote na Yesu
Come and reign Holy spirit reign
Uliyotenda Tenda Sasa

Related songs:

Swahili worship Songs - Nyimbo za kuabudu lyrics related to Bwana Mungu Nakuomba Sasa

Juu Yako Bwana Naishi
Naijulikane Wewe Ni Mungu
Damu Yatiririka
Baba wa mbinguni nyosha mkono wako
Tunainua Mikono yetu wewe Watosha

From the Bible

Categories