Nangojea Nasubiri malangoni pako

Tumaini SifaMusic

Watch Video for Nangojea Nasubiri malangoni pako

Read lyrics while watching

Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako
Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako
Yesu wee

Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako
Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako

Niende wapi nikwache wewe, Yesu Uu uu.
Wewe unalo neno la maisha
Niende wapi nikwache wewe, Yesu Uu uu.
Wewe unalo neno la maisha
Niende wapi nikuache wewe
Unayejua nitokako na niendako

Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako
Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako

Basi ni bora maana yeye angojeaye
Hutarajia kupata kitu
Basi usiwe na haraka, mpendwa mwenzangu
aliyewatendea wengine atakutendea
Basi usiwe na haraka, mpendwa mwenzangu
Aliyewainua wengine, atakuinua
Basi usiwer na haraka,
aliyebariki wengine, atakubariki pia

Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako
Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako.

Tags: Nangojea, Nasubiri, Malangoni, Sifa Lyrics

Other songs by Tumaini,

Nisizame Yesu uniokoe
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe

Related songs:

Swahili worship Songs - Nyimbo za kuabudu lyrics related to Nangojea Nasubiri malangoni pako

Sina Mungu Mwingine
Baba naomba kubarikiwa nawe
Nikufahamu Zaidi Bwana
Unajibu Maombi
Damu Yatiririka

From the Bible

Categories