Twendeni Askari - Onward Christian Soldiers SW

Twendeni askari, watu wa Mungu;
Yesu yuko mbele, tumwandame juu.
Ametangulia Bwana vitani, twende mbele kwani ndiye amini.

Twende askari watu wa Mungu;
Yesu yuko Mbele, tumwandame juu.

Jeshi la Shetani, likisikia jina la Mwokozi,
litakimbia, kelele za shangwe zivume nchi; n
dugu inueni zenu sauti.

Twende askari watu wa Mungu;
Yesu yuko Mbele, tumwandame juu.

Kweli kundi dogo, watu wa Mungu sisi na mababa tu moja fungu.
Hatutengwi nao, moja imani, Tumaini moja, na moja dini.

Twende askari watu wa Mungu;
Yesu yuko Mbele, tumwandame juu.

Haya mbele watu nasi njiani, inueni myoyo, nanyi sifuni;
heshima na sifa ni ya Mfalme, juu hata chini, sana zivume.
Share:
0 Comments

Comments / Song Reviews

Share your understanding & meaning of this song


Tenzi

@tenzi

Bio

Profile bio not available. Go to Artists Page to add bio & Links

Bible Verses for Twendeni Askari - Onward Christian Soldiers SW

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Sifa Lyrics

Social Links