Nitamjua - kazi yangu ikiisha nami nikiokoka

Tenzi SifaLyrics

Kazi yangu ikiisha, nami nikiokoka
Na kuvaa kutokuharibika, Nitamjua Mwokozi nifikapo ng’amboni
Atakuwa wa kwanza kunilaki.

Nitamjua, nitamjua, nikimwona uso kwa uso;
Nitamjua, nitamjua, kwa alama za misumari.

Furaha nitapata nikiona makao Bwana aliyotuandalia;
Nitamsifu mwokozi kwa rehema na pendo
Vilivyonipa pahali Mbinguni.

Nitamjua, nitamjua, nikimwona uso kwa uso;
Nitamjua, nitamjua, kwa alama za misumari.

Nao waliokufa katika Bwana Yesu, Nitawaona tena huko juu;
Lakini nifikapo kwake huko Mbinguni, Nataka kumwona Mwokozi kwanza.

Nitamjua, nitamjua, nikimwona uso kwa uso;
Nitamjua, nitamjua, kwa alama za misumari.

Milangoni mwa mji Bwana atanipitisha,
Pasipo machozi wala huzuni.
Nitauimba wimbo wa milele;
lakini Nataka kumwona Mwokozi kwanza.

Nitamjua, nitamjua, nikimwona uso kwa uso;
Nitamjua, nitamjua, kwa alama za misumari.

# I will Know Him

Tags: Nitamjua, Nikiokoka, Misumari, Sifa Lyrics

Other songs by Tenzi,

Bwana Mungu Nashangaa kabisa lyrics

Bwana U Sehemu Yangu lyrics

Ni Ujumbe Wa Bwana 118 lyrics

Wamwendea Yesu Kwa Kusafiwa lyrics

Usinipite Mwokozi Unisikue lyrics

Ni tabibu wa Karibu - imbeni malaika sifa kwa Yesu Bwana lyrics

Liko Lango Moja Wazi - Lango ndiye yesu Bwana lyrics

Mwamba Wenye Imara lyrics

Ni Salama Rohoni Mwangu lyrics

Msalaba ndio asili ya mema lyrics

Msalabani pa Mwokozi lyrics

Msalaba ndio asili ya mema lyrics

Yesu Kwetu ni Rafiki lyrics

Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu lyrics

Msifuni Yesu Ndiye Mkombozi lyrics

Nataka nimjue Yesu - zaidi nimfahamu Yesu lyrics

Siku kuu Siku-kuu Ya kuoshwa dhambi zangu kuu lyrics

Mungu ni pendo lyrics

Kumtegemea Mwokozi lyrics

Related songs:

Swahili Praise and worship Songs Lyrics music lyrics related to Nitamjua - kazi yangu ikiisha nami nikiokoka

Alipo Bwana yote yawezekana. lyrics
Ni Salama Rohoni Mwangu lyrics
Nina sababu ya ku-kuabudu lyrics
Nataka nimjue Yesu - zaidi nimfahamu Yesu lyrics
Maneno ya kinywa changu lyrics
Categories

From the Bible

nami Appears 2 Times

Genesis 10 : 13

Mizraim became the father of Ludim, Anamim, Lehabim, Naphtuhim,

1st Chronicles 1 : 11

Mizraim became the father of Ludim, and Anamim, and Lehabim, and Naphtuhim,