Nataka nimjue Yesu - zaidi nimfahamu Yesu

Fenuel Zedekia Tenzi SifaMusic

Watch Video for Nataka nimjue Yesu - zaidi nimfahamu Yesu

Read lyrics while watching

Nataka nimjue Yesu
Na nizidi kumfahamu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili

Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili

Nataka nimwone Yesu
Na nizidi kusikia
Anenapo kitabuni
Kujidhihirisha kwangu

Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili

Nataka nimfahamu
Na nizidi kupambanua
Mapenzi yake nione
Yale yanayo pendeza

Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili

Nataka nikae nawe
Kwa mazungumzo zaidi
Nizidi kuwaonesha
Wengine wokovu wake

Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili

Tags: Yesu, Fahamu, Pendo, Sifa Lyrics

Other songs by Fenuel Zedekia, Tenzi,

Ametenda Maajabu
Ni nani kama wewe
Ni nani kama wewe
Tumekuja
Upendo
Moyoni nimempata yesu Moyoni
Jina la Yesu
Ni neema ya mkombozi - Nimefanyika kuwa mwana

Related songs:

tenzi za rohoni - swahili hymns lyrics related to Nataka nimjue Yesu - zaidi nimfahamu Yesu

Wamwendea Yesu Kwa Kusafiwa
Yote kwa Yesu - Unto Jesus I surrender in Swahili
Ni tabibu wa Karibu - imbeni malaika sifa kwa Yesu Bwana
Ni Salama Rohoni Mwangu
Siku kuu Siku-kuu Ya kuoshwa dhambi zangu kuu

From the Bible

Categories