Bwana U Sehemu Yangu Album: Tenzi

Tenzi SifaLyrics

Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Mali hapa sikutaka,
Ili niheshimiwe,
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Heri nikute mashaka,
Sawasawa na wewe.

Niongoze safarini,
Mbele unichukue,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.

Tags: Tenzi, Sifa Lyrics

Other songs by Tenzi,

Bwana Mungu Nashangaa kabisa lyrics

Ni Ujumbe Wa Bwana 118 lyrics

Wamwendea Yesu Kwa Kusafiwa lyrics

Usinipite Mwokozi Unisikue lyrics

Ni tabibu wa Karibu - imbeni malaika sifa kwa Yesu Bwana lyrics

Liko Lango Moja Wazi - Lango ndiye yesu Bwana lyrics

Mwamba Wenye Imara lyrics

Ni Salama Rohoni Mwangu lyrics

Msalaba ndio asili ya mema lyrics

Msalabani pa Mwokozi lyrics

Msalaba ndio asili ya mema lyrics

Yesu Kwetu ni Rafiki lyrics

Nitamjua - kazi yangu ikiisha nami nikiokoka lyrics

Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu lyrics

Msifuni Yesu Ndiye Mkombozi lyrics

Nataka nimjue Yesu - zaidi nimfahamu Yesu lyrics

Siku kuu Siku-kuu Ya kuoshwa dhambi zangu kuu lyrics

Mungu ni pendo lyrics

Kumtegemea Mwokozi lyrics

Related songs:

Swahili Praise and worship Songs Lyrics music lyrics related to Bwana U Sehemu Yangu

Anza Vyote na Yesu lyrics
Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu lyrics
Pokea sifa kwa matendo uliyotenda lyrics
Vizazi hadi vizazi vyakufahamu Wewe ni Mungu lyrics
Msaidizi lyrics
Categories

From the Bible