Msalabani pa Mwokozi

Tenzi SifaMusic

Watch Video for Msalabani pa Mwokozi

Read lyrics while watching

Msalabani pa mwokozi, hapo niliomba upozi, akaniokoa mpenzi, mwana wa Mungu.

Mwana wa Mungu, mwokozi wangu, akaniokoa mpenzi, mwana wa Mungu

Chini ya mti msumbufu, niliomba utakatifu, alinikomboa kwa damu, mwana wa Mungu.

Aliniokoa dhambini, ikawa kunikaa ndani, aliponifia mtini, mwana wa Mungu.

Damu ya Yesu ya thamani, huniokoa makosani, huniendesha wokovuni, mwana wa Mungu.

Hicho kijito cha gharama, leo jivike kwa kuzama, kwake uuone uzima, mwana wa Mungu.

Tags: Tenzi, Lifesong, Sifa Lyrics

Other songs by Tenzi,

Bwana Mungu Nashangaa kabisa
Bwana U Sehemu Yangu
Ni Ujumbe Wa Bwana 118
Wamwendea Yesu Kwa Kusafiwa
Usinipite Mwokozi Unisikue
Ni tabibu wa Karibu - imbeni malaika sifa kwa Yesu Bwana
Liko Lango Moja Wazi - Lango ndiye yesu Bwana
Mwamba Wenye Imara
Ni Salama Rohoni Mwangu
Msalaba ndio asili ya mema
Msalaba ndio asili ya mema
Yesu Kwetu ni Rafiki
Nitamjua - kazi yangu ikiisha nami nikiokoka
Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu
Msifuni Yesu Ndiye Mkombozi
Nataka nimjue Yesu - zaidi nimfahamu Yesu
Siku kuu Siku-kuu Ya kuoshwa dhambi zangu kuu
Mungu ni pendo
Kumtegemea Mwokozi
Yote kwa Yesu - Unto Jesus I surrender in Swahili
Amani Moyoni Mwangu Tangu Siku hiyo Aliponijia
Twendeni Askari - Onward Christian Soldiers SW
Kaa Nami ni Usiku Tena

Related songs:

tenzi za rohoni - swahili hymns lyrics related to Msalabani pa Mwokozi

Nina Haja nawe
Usinipite Mwokozi Unisikue
Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu
Ni Salama Rohoni Mwangu
Bwana Mungu Nashangaa kabisa

From the Bible

Categories