Taita Kids - Mungu Wetu ni wa Ajabu Lyrics

Mungu Wetu ni wa Ajabu Lyrics

Mungu wetu ni wa Amani
Mungu wetu ni wa amani
Mungu wetu ni wa amani

Kanitoa wapi kaniweka wapi
Kanitoa chini kaniweka kati
Kanitoa kati kaniweka juu

Mungu wetu ni wa amani
Mungu wetu ni wa amani
Mungu wetu ni wa amani

Kanitoa wapi kaniweka wapi
Kanitoa chini kaniweka kati
Kanitoa kati kaniweka juu

Mungu wetu ni wa upendo
Mungu wetu ni wa upendo
Mungu wetu ni wa upendo

Kanitoa wapi kaniweka wapi
Kanitoa nursery, kaniweka primary
Kanitoa primary kaniweka secondary
Mungu wetu ni wa upendo

Mungu wetu ni wa Baraka
Mungu wetu ni wa Baraka
Mungu wetu ni wa Baraka

Kanitoa wapi kaniweka wapi
Kanitoa primary kaniweka secondary
Kanitoa seconday akiniweka chuo kikuu
Mungu wetu ni wa Baraka


Mungu Wetu ni wa Ajabu Video

Mungu Wetu ni wa Ajabu Lyrics -  Taita Kids

Taita Kids Songs

Related Songs