Usiyeshindwa - mataifa yote yanakufahamu

Sarah Kiarie SifaMusic

Watch Video Lyrics for Usiyeshindwa - mataifa yote yanakufahamu

Read lyrics while watching

Mataifa yote, yanakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

Chorus:
Usiyeshindwa, usiyeshindwa
Wewe ni Mungu usiyeshindwa

Makabila yote, yanakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

Na kanisa lako, linakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

All nations know you as the God who never fails.

Tags: Sifa, Excellent, Usiyeshindwa, Sifa Lyrics

Other songs by Sarah Kiarie,

Mbele ninaendelea
Hakuna Silaha
Nina sababu ya ku-kuabudu
Nasema Asante
Kwani ni Jambo lipi hilo - Liseme

Related songs:

Nyimbo za sifa - Swahili Praise Songs lyrics related to Usiyeshindwa - mataifa yote yanakufahamu

Usiku Na Mchana - Nakupa Sifa
Nani Kama Yahweh
Sifa
napenda nione
Hakuna Silaha

From the Bible

Categories