Pokea Sifa

Reuben Kigame SifaLyrics

Pokea sifa, bwana pokea sifa ,
jina lako litukuzwe,
bwana pokea sifa

Umeumba, vyote viishivyo
bwana pokea sifa
Dunia, jua na mwezi
bwana pokea sifa

Halleluyah
Jina lako baba, jina lako litukuzwe
Malaika wakuabudu,
bwana pokea sifa
Ulimwengu tunakuabudu
bwana pokea sifa

Bwana wetu
Jina lako takatifu
jina lako litukuzwe,
bwana pokea sifa
Enzi yako ni ya milele
bwana pokea sifa

Tags: Sifa, Sifa Lyrics

Other songs by Reuben Kigame,

Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi lyrics

Wastahili Bwana lyrics

Sina Mungu Mwingine lyrics

Fadhili zake ni za Milele lyrics

Bwana ni Mchungaji Wangu lyrics

Related songs:

Nyimbo za sifa - Swahili Praise Songs music lyrics related to Pokea Sifa

Zaidi Ya Yote Utabaki kuwa Mungu mkuu lyrics
Amewazidi wote lyrics
Nafasi Yote Moyoni - Namba Moja lyrics
Baba Yetu Wa Mbinguni tunaleta sifa lyrics
Kwetu Pazuri nimeshapakumbuka lyrics
Categories

From the Bible