Baba wa mbinguni nyosha mkono wako

Pst Samuel SifaMusic

Watch Video for Baba wa mbinguni nyosha mkono wako

Read lyrics while watching

Baba wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako

Baba wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako

Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako

Tunakuinua
Baba wa mayatima nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako

Tunanyenyekea
Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, walisifu
walisifu jina lako

Tunakuhitaji
Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, walisifu
walisifu jina lako
Ni wewe twakuinua
Tunakuheshimu

... @ PST. SAMWEL - Baba nyosha mkono wako

Tags: Baba, Mkono, Nyosha, Sifa Lyrics

Other songs by Pst Samuel,

Related songs:

Swahili worship Songs - Nyimbo za kuabudu lyrics related to Baba wa mbinguni nyosha mkono wako

Mtakatifu - Naleta sadaka za sifa kwako Bwana
Fadhili zake ni za Milele
Heri Siku Moja
Ni wakati wa kuomba
Nikufahamu Zaidi Bwana

From the Bible

Categories