Ombi Langu - Natamani Kuingia mbinguni Song Lyrics

Reuben Kigame Sifa Music

Information for Artists

Watch Video for Ombi Langu - Natamani Kuingia mbinguni

Read lyrics

Kama ayala anatamani
Maji huko jangwani
Roho yangu inatamani
Uso wa Baba yangu;
Natamani nifike sasa
Niabudu mbele zako
Natamani kukuishia
Hili ni ombi langu.

Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi?
Kweli ni kwako Bwana.
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Mwamba wangu
Wewe mpenzi wangu
Wewe Mwokozi wangu.

Siku nyingi nimetumika
Kwa kazi yako Bwana
Lakini sitaki Bwana
Nikose kuona wewe.
Hili ni ombi langu
Hili ni ombi langu
Hili ni ombi langu
Hili ni ombi langu.

Natamani kuingia Mbinguni kwa Baba yangu
Huko kunayo raha ya ajabu
Huko kuna uzima sawasawa

Natamani kumwona Bwana Yesu Mwokozi wangu ...
Yeye ukimuona anameremeta ...
Yeye ukimfahamu ni uzima tele tele ...
Hili ni ombi langu la milele
Kufika kwake
Kumtumikia
Kumfahamu
Ni ombi langu

Hakuna Mungu kama wewe
Tanzania Kenya Ukienda Ulaya
Hakuna Mungu kama wewe

Msalaba wa Yesu msalaba
Umeniokoa dhambi Hallelujah

Tags: Prayer, Zilizopendwa, Ombi, Sifa Lyrics

Other songs by Reuben Kigame,

Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi
Wastahili Bwana
Sina Mungu Mwingine
Fadhili zake ni za Milele
Bwana ni Mchungaji Wangu
Pokea Sifa
Nitainua Macho Yangu
Sweet Bunyore
Heri Siku Moja
Me Love The Man from Galilee - Jamaican
I Have a Dream

Related songs:

Nyimbo za sifa - Swahili Praise Songs lyrics related to Ombi Langu - Natamani Kuingia mbinguni

Mungu Baba twaomba uilinde nchi yetu
Futa Machozi
Napokea kwako
Mwamba yesu ndiye Mwamba
Ni KWA NEEMA NA REHEMA

From the Bible

Psalms 27 : 4 English

Neno Moja nimelitaka kwa Bwana, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa Bwana Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa Bwana, Na kutafakari hekaluni mwake.

Categories