Pitson - Mtu wa Maana Lyrics

Mtu wa Maana Lyrics

Nilitaka nijulikane mie iyee  
Niongee waniskie, tushindane nishinde 
Na nilitaka nikuwe na sifa aa ah 
Munasimama punde nikifika (alikuwa na maana) 
Na nilitaka niwe na dereva mtu wa kunifuata 
Kumbe ba... 
Joto ikizidi nipepetwe, nikijam nichekeshwe 
Mambo haya yote (alikuwa na maana)

Mtu wa maana (mtu wa maana), ndiye Yesu 
Kitu cha maana (kitu cha maana), kumpenda Yesu 
Ndiye ndiye Yesu 

Nilipata rafiki adui, nikiwa nazo wazuri 
Nikikosa hawanitambui (hawakuwa wa maana) 
Nilitaka mchana yellow yellow yellow kumaanisha ipo 
Sikutaka wello (alikuwa wa maana)  

Mtu wa maana (mtu wa maana), ndiye Yesu ndiye Yesu
Kitu cha maana (kitu cha maana), kumpenda Yesu 
ndiye Yesu , ndiye 

Mtu wa maana (mtu wa maana), ndiye Yesu ndiye Yesu
Kitu cha maana (kitu cha maana), kumpenda Yesu 
ndiye Yesu , ndiye

Mtu wa Maana Video

Mtu wa Maana Lyrics -  Pitson

Pitson Songs

Related Songs