Wewe ndiye Mungu hubadiliki - Nimeliguza

Paul Mwai SifaLyrics

Nimeliguza vazi lako Elohim, nayo maisha yangu ukayabadilisha
Nimekujua Hosonna, tena kanipa uhai bila kulipa
Mie nitaubeba mzigo wako Rabii, kwa kuwa mzigo wako ni mwepesi sana
Nira yako ni laini eeh Masiya, natamani nifanane nawe siku zote

Wewe ndiye Mungu hubadiliki, Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo, nayo matendo yako ninayajua

Asante kwa uaminifu wako
Nilikuwa mtoto sasa mi ni mzee, sijaona siku moja umenitenga
Nisi wanilinda kama mboni lako, hesabu za nywele yangu waielewa

Wewe ndiye Mungu hubadiliki, Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo, nayo matendo yako ninayajua

Niyo maana ninaimba, Utukufu wako wa milele
Sasa Ebenezar, jibu langu, pumzi uhai wangu tegemeo langu
Huna mwisho wala huna mwanzo Yahweh, natamani nifanane nawe siku zote

Wewe ndiye Mungu hubadiliki, Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo, nayo matendo yako ninayajua

Swahili Lyrics For Touched Lyrics

Tags: Mungu, Hubadiliki, Nimeliguza, Sifa Lyrics

Other songs by Paul Mwai,

Nitaimba sifa Zako - Nitatangaza lyrics

Touched - Hem of Your garment lyrics

I am in the race lyrics

Related songs:

Nyimbo za sifa - Swahili Praise Songs music lyrics related to Wewe ndiye Mungu hubadiliki - Nimeliguza

Mungu ni Mungu tu lyrics
Mkono wa Bwana lyrics
Kwetu Pazuri nimeshapakumbuka lyrics
Hapo mwanzo kulikwa na neno lyrics
Yesu ni Muweza lyrics
Categories

From the Bible