Nuru Kitambo - Ni Kwa Maombi Pekee Lyrics

Ni Kwa Maombi Pekee Lyrics

Hakuna njia nyingine ya kusema na Mungu 
Ili yote tunayoyaona, tuyapokee eeh 
Iyo njia iliyo ya siri ya kusema na Mungu 
Na hakika ni Mungu pekee atasikia 

Ni kwa maombi pekee eeh, 
Mungu anashuka kwa watu wake 
Ni kwa maombi pekee eeh,  
Shetani anakimbia 
Ni kwa maombi pekee eeh, 
Watu wanafunguliwa kifungoni 
Ni kwa maombi pekee eeh, 
Tutamwona Mungu 

Tuombe bila kuchoka, 
Tuombe kwa imani, 
Tuombe kwa matumaini 
Mungu anasikia X2 

Maombi ni silaha kubwa wakati wa matatizo 
Maombi ni amani tele wakati wa furaha 
Tukiwa furahani tuombe, Mungu awe pamoja nasi 
Tukiwa shidani tuombe, Mungu atashuka upesi 

Ni kwa maombi pekee eeh, 
Mungu anashuka kwa watu wake 
Ni kwa maombi pekee eeh,  
Shetani anakimbia 
Ni kwa maombi pekee eeh, 
Watu wanafunguliwa kifungoni 
Ni kwa maombi pekee eeh, 
Tutamwona Mungu 

Tuombe bila kuchoka, 
Tuombe kwa imani, 
Tuombe kwa matumaini 
Mungu anasikia X4


Ni Kwa Maombi Pekee Video

Ni Kwa Maombi Pekee Lyrics -  Nuru Kitambo

Nuru Kitambo Songs

Related Songs