Mwangi Nimo - Niwewe - twakushukuru Muumba ni wewe Lyrics

Niwewe - twakushukuru Muumba ni wewe Lyrics

Uliniona nilipopotea ukaniosha mimi ukanipa uzima
Uliniona nikiwa mpweke, ukanipa upendo, sasa niko huru

We have come to praise your holy name today
We have come to praise your holy name

Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe!
Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe!
Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe

Maishani mwetu twasema ni Wewe,Unaye Bariki , Unaye okoa.
Twakukimbilia Wewe, twajificha kwako Unaye tujali!

We have come to praise your Holy name today,
We have come oh, to praise your Holy name .

Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe,
Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe.

Wewe tulizo la roho zetu
Wewe kipenzi cha roho zetu
Wewe waponya nafsi zetu
Wewe ni mwanzo tena mwisho

Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe
Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe.
Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe
Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe.

Niwewe - twakushukuru Muumba ni wewe Video

Niwewe - twakushukuru Muumba ni wewe Lyrics -  Mwangi Nimo

Mwangi Nimo Songs

Related Songs