Nashukuru

Mercy Linah SifaMusic

Watch Video for Nashukuru

Read lyrics while watching

Umenipa uhai baba nafasi nyingine ya siku mpya.
Baaaabaaaa, Nashukuruuu.
Umeniponya roho na mwili tabibu wa ajabu wewe yesu.
Babaaaaa, Nashukuruu
Umeondoa laana kabadilisha kuwa baraka.

Baba, Nashukuru.
Kilio changu ewe yesu kabadilisha kuwa furaha.
Baba, nashukuru.

Kwa moyo wangu wote.
Nasema asante kwako
Messiah Nashukuru

Nilipokuwa mnyonge baba umekua nguvu yangu.
Babaa, Nashukuru
Nayo mishale ya yule mwovu hayajanipata umenilinda
Babaaa, Nashukuru

Umeniongoza mwokozi wangu kanisimamisha imara.
Babaaaa, Nashukuru
Umenitoa kwenye shimo la giza kaniweka kwenye mwanga.
Babaaa, Nashukuru.

Kwa moyo wangu wote.
Nasema asante kwako
Messiah Nashukuru

Yale yote umetenda ni mingi mno na ya ajabu.
Sijuie nisemeje.
Messiah Nashukuruuu.

Tags: Father, Thank you, Sifa Lyrics

Other songs by Mercy Linah,

Wa Ajabu wewe wa ajabu
Umenipa Uhai Baba

Related songs:

Nyimbo za sifa - Swahili Praise Songs lyrics related to Nashukuru

Hapo mwanzo kulikwa na neno
KESHO YANGU
Kwani ni Jambo lipi hilo - Liseme
Eeh Baba ee Baba Pokea Sifa
Nafasi Yote Moyoni - Namba Moja

From the Bible

Categories