Mwambie anakuangalia wewe Song Lyrics

Mbuvi Mbuvi Sifa Music

Information for Artists

Watch Video for Mwambie anakuangalia wewe

Read lyrics

Mwambie mwambie mwambie
Shida Shida za Dunia Zinakuhangaisha
Watu unaowatazamia wanakuzungusha
Hakuna msaada kamili utapata kwao
ni bora uachane nao

Kama umelala njaa,
umefukuzwa nyumba
kwa sababu huna pesa
sikiza nikwambie

Mungu anakuangalia wewe
anakutangulia mbele
anakungojea wewe
weweee

Mungu anakuangalia wewe
anakutangulia mbele
anakungojea wewe
weweee

Kama una shidaa (mwambiee)
usione hayaa (mwambiee)
atakusikia (mwambiee)
mwambie yeye
Na kama majaribu (mwambiee)
unayopitia (mwambie)
atakusikia

@Mbuvi Mbuvi - Mwambie -Tell Him

Na ukipata shukuru, akijibu Mungu
Akikawia Subiri usije kufuru

umelala njaa,
umefukuzwa nyumba
kwa sababu huna pesa
sikiza nikwambie

Mungu anakuangalia wewe
anakutangulia mbele
anakungojea wewe
weweee

Mungu anakuangalia wewe
anakutangulia mbele
anakungojea wewe
weweee

Yuko kwa ajili yako (mwambie)
ushindi wako (mwambie)
Tumaini lako (mwambie)
msaada wako (mwambie)
mwambieeeeeeeeeeee.

Tags: Mwambie, Sifa Lyrics

Other songs by Mbuvi Mbuvi,

Related songs:

Swahili worship Songs - Nyimbo za kuabudu lyrics related to Mwambie anakuangalia wewe

Wa Ajabu wewe wa ajabu
Wastahili mwanakondoo wa Mungu uliyechinjwa
Mkuu - Wewe ni mkuu
Nitaimba sifa Zako - Nitatangaza
Bwana Mungu Nakuomba Sasa

From the Bible

Categories