Ahadi Zake

Marion Shiko SifaLyrics

Nafsi yangu usichoke, roho yangu msifu Bwana
Alihadi atatenda, mtumanie Bwana
Ahadi zake ni za milele, akiahidi atatenda
Roho yangu nafsi yangu, mtumainie Bwana

Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
Na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
Litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema
Aliahidi atatenda, mtumainie Bwana

Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
Na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
Litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema
Aliahidi atatenda, mtumainie Bwana

Mawazo yake sio yetu, njia zake si kama zetu
Mbingu zilivyo juu ya nchi, mawazo yake ni makuu
Ataagiza fadhili zake, wimbo wake kwangu usiku
Sifadhaike usiiname, mtumainie bwana

Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
Na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
Litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema.
Aliahidi atatenda, mtumainie Bwana

Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
Na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
Litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema
Aliahidi atatenda, mtumainie Bwana

Tags: Kenya, Bwana, Ahadi, Milele, Sifa Lyrics

Other songs by Marion Shiko,

Adonai Nakupamba na sifa zangu lyrics

Related songs:

Swahili Praise and worship Songs Lyrics music lyrics related to Ahadi Zake

Futa Machozi lyrics
Wewe ni zaidi - Yale umetenda Baba lyrics
Baba naomba kubarikiwa nawe lyrics
Niumbie Moyo Safi niumbie moyo mpya lyrics
Ameni Amen Haleluya lyrics
Categories

From the Bible