Marion Shiko - Adonai - Nakupamba na sifa zangu Lyrics

Adonai - Nakupamba na sifa zangu Lyrics

Yelele Yee
Yelele Yee
Yelele Yee

Nakupamba na sifa zangu, Wewe kwangu Ebeneza
Nakupamba na sifa zangu, Wewe kwangu Ebeneza
Nakupamba na sifa zangu, Wewe kwangu Ebeneza

Yelele Yee
Yelele Yee
Yelele Yee

Nakuinua, wastahili, wapendeza, Mungu wangu
Jina lako, takatifu, wewe kwangu… Oh

Nakwita Adonai; Ewe U Bwana wangu
Nakwita Jehova Nissi; bendera yangu – vita ni vyako
Nakuita Jireh; sipungukiwi na chochote
Jehovah Shammah; pamoja nami

Nakuinua, wastahili, wapendeza, Mungu wangu
Jina lako, takatifu, wewe kwangu… Oh

Meaning:
Honor you with my praises

Adonai - Nakupamba na sifa zangu Video

Marion Shiko Songs

Related Songs