SWAHILI WORSHIP SONGS - NYIMBO ZA KUABUDU Lyrics

kuabudu Lyrics

kuabudu refers to swahili worship songs. Here you will find a collection of holy gospel songs of worship sung in kiswahili. Get the full lyrics of nyimbo za kuabudu, watch video and listen to ibada songs #IbadaTakatifu. Katika kuabudu tunaonyesha mwenyezi Mungu kuwa tunamuheshimu, na kumtukuza mwenye enzi zote. Kuabudu ni zaidi ya uimbaji, unaweza kumwabudu na kumpa sifa mwenyezi wakati wowote. Tunapoishi maisha ya kumpendeza Mungu na kuandamana na neno lake. Katika sala Yesu Kristo ametufunza tuwe wanyenyekevu mbele za Mungu, ibada yetu inafaa iwe takatifu mbele za Mungu.

kuabudu Bible Verses

Yohana 12: 20

Palikuwa na Wayunani kadha wa kadha miongoni mwa watu waliokwea kwenda kuabudu kwenye sikukuu.

Yeremia 26: 2

Bwana asema hivi, Simama katika uwanja wa nyumba ya Bwana, useme na miji yote ya Yuda, wajao ili kuabudu katika nyumba ya Bwana; sema nao maneno yote ninayokuamuru kuwaambia, usizuie hata neno moja.

Wakolosai 2: 18

Mtu asiwanyang'anye thawabu yenu, kwa kunyenyekea kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na kuabudu malaika, akijitia katika maono yake na kujivuna bure, kwa akili zake za kimwili;

Matendo ya Mitume 8: 27

Naye akaondoka, akaenda; mara akamwona mtu wa Kushi, towashi, mwenye mamlaka chini ya Kandake malkia wa Kushi, aliyewekwa juu ya hazina yake yote; naye alikuwa amekwenda Yerusalemu kuabudu,

Matendo ya Mitume 24: 11

Maana waweza kujua ya kuwa hazijapita siku zaidi ya kumi na mbili tangu nilipopanda kwenda Yerusalemu ili kuabudu.

Kumbukumbu la Torati 7: 4

Kwa kuwa atamkengeusha mwanao mume asinifuate, ili wapate kuabudu miungu mingine; ndipo itakapowaka hasira ya Bwana juu yenu, naye atakuangamiza upesi.

Kumbukumbu la Torati 30: 17

Lakini moyo wako ukikengeuka, usipotaka kusikiza, lakini ukavutwa kando kwenda kuabudu miungu mingine, na kuitumikia;

Isaya 66: 23

Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema Bwana.

Danieli 3: 6

Na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa saa iyo hiyo katika tanuru ya moto uwakao.

Danieli 3: 11

na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa katika tanuru ya moto uwakao.

1 Wakorintho 5: 10

Sisemi msichangamane kabisa na wazinzi wa dunia hii, au na wenye kutamani, au na wanyang'anyi, au na wenye kuabudu sanamu; maana hapo ingewalazimu kutoka katika dunia.

1 Wakorintho 5: 11

Lakini, mambo yalivyo, naliwaandikia kwamba msichangamane na mtu aitwaye ndugu, akiwa ni mzinzi au mwenye kutamani au mwenye kuabudu sanamu au mtukanaji au mlevi au mnyang'anyi; mtu wa namna hii msikubali hata kula naye.

1 Wafalme 12: 30

Jambo hili likawa dhambi, maana watu walikwenda kuabudu mbele ya kila mmoja, hata huko Dani.

1 Samweli 1: 3

Na mtu huyo alikuwa akikwea kutoka mjini kwake mwaka kwa mwaka, ili kuabudu, na kumtolea Bwana wa majeshi dhabihu katika Shilo. Na wale wana wawili wa Eli, Hofni na Finehasi, makuhani wa Bwana, walikuwako huko.

Psalms 103:1-5

Bless the Lord, O my soul, and all that is within me, bless his holy name! Bless the Lord, O my soul, and forget not all his benefits, who forgives all your iniquity, who heals all your diseases, who redeems your life from the pit, who crowns you with steadfast love and mercy, who satisfies you with good so that your youth is renewed like the eagle’s.

Theme Verses

Psalms 103:1-5

Bless the Lord, O my soul, and all that is within me, bless his holy name! Bless the Lord, O my soul, and forget not all his benefits, who forgives all your iniquity, who heals all your diseases, who redeems your life from the pit, who crowns you with steadfast love and mercy, who satisfies you with good so that your youth is renewed like the eagle’s.

Psalm 150:1-6

“Praise the Lord! Praise God in his sanctuary; praise him in his mighty heavens! Praise him for his mighty deeds; praise him according to his excellent greatness! Praise him with trumpet sound; praise him with lute and harp! Praise him with tambourine and dance; praise him with strings and pipe! Praise him with sounding cymbals; praise him with loud clashing cymbals!”

Ephesians 5:19

“addressing one another in psalms and hymns and spiritual songs, singing and making melody to the Lord with your heart.

John 4:23

“But the hour is coming, and now is, when the true worshippers shall worship the Father in spirit and in truth: for the Father seeks such to worship him.”

Hebrews 13:15

“Through him then let us continually offer up a sacrifice of praise to God, that is, the fruit of lips that acknowledge his name.”

Psalm 22:3

“Yet you are holy, enthroned on the praises of Israel.”

Colossians 3:16

“Let the word of Christ dwell in you richly in all wisdom; teaching and admonishing one another in psalms and hymns and spiritual songs, singing with grace in your hearts to the Lord.”

Psalm 95:6

“Oh come, let us worship and bow down; let us kneel before the Lord, our Maker!”

2 Corinthians 1:3–4

“Praise be to the God and Father of our Lord Jesus Christ, the Father of compassion and the God of all comfort, who comforts us in all our troubles, so that we can comfort those in any trouble with the comfort we ourselves receive from God.”

Hebrews 11:1

Now faith is confidence in what we hope for and assurance about what we do not see.

Isaiah 25:1

“O Lord, you are my God; I will exalt you; I will praise your name, for you have done wonderful things, plans formed of old, faithful and sure.”

2 Samuel 7:21–22

“Because of your promise, and according to your own heart, you have brought about all this greatness, to make your servant know it. Therefore you are great, O Lord God. For there is none like you, and there is no God besides you, according to all that we have heard with our ears.”