Evangelist Thunder - Uliyotenda Tenda Sasa Lyrics

Uliyotenda Tenda Sasa Lyrics

Uliyotenda Mungu Baba
uliyotenda tenda sasa
Uliyotenda Baba
uliyotenda, tenda sasa

Bwana wa mabwana
Mfalme wa wafalme
Mungu mwenye
Kanisa lako lakuhitaji Baba
Wakuone wakusifu waliunue Jina lako

Uliyotenda uliyotenda
Tenda Sasa
Uliyotenda uliyotenda
Tenda Sasa

Mama yule aliyetokwa na damu miaka kumi na miwili
Ulimtendea miujiza damu ikakauka
Watazame hata sasa kina mama wanakuhitaji
Waponye watakase waonyeshe uzima wako
Watende miujiza tenda Baba

Uliyotenda uliyotenda
Tenda Sasa
Uliyotenda uliyotenda
Tenda Sasa

Mama analia hana karo
Uliyotenda uliyotenda Tenda Sasa
Kijana yule kaka hawana pesa za matumizi
Shida zimewainukia Tenda sasa
Uliyotenda uliyotenda Tenda Sasa




Uliyotenda Tenda Sasa Video

Uliyotenda  Tenda Sasa Lyrics -  Evangelist Thunder

Evangelist Thunder Songs

Related Songs