Anza Vyote na Yesu

Kenyan SifaLyrics

Anza vyote na Yesu kila kunapokucha
umweleze Yeye shida zako..
.anza vyote na Yesu.

Kila siku anza na Yesu
asubuhi ata na jioni
mwambie shida zako..
anza vyote na Yesu.

Manabii na mitume walianza na Yesu
wakapata mema kwake Yesu.
anza vyote na Yesu.

Kila siku anza na Yesu
asubuhi ata na jioni
mwambie shida zako..
anza vyote na Yesu.

Piga makoti omba
zungumuza na Yesu
atakujibu mambo yako.
anza vyote na Yesu.

Kila siku anza na Yesu
asubuhi ata na jioni
mwambie shida zako..
anza vyote na Yesu. (x2)

Tags: Jesus, Start, Sifa Lyrics

Other songs by Kenyan,

Tunainua Mikono yetu wewe Watosha lyrics

Bwana Mungu Nakuomba Sasa lyrics

Come and reign Holy spirit reign lyrics

Uliyotenda Mungu Baba Tenda Sasa lyrics

Related songs:

Nyimbo za sifa - Swahili Praise Songs music lyrics related to Anza Vyote na Yesu

Sipati Picha - Natamani mbingu mpya nchi mpya lyrics
Adonai Nakupamba na sifa zangu lyrics
Ameni Amen Haleluya lyrics
Tulia na ujue mimi ni Mungu wako lyrics
Ongoza Hatua Zangu lyrics
Categories

From the Bible