Joel Lwaga - Sitabaki Nilivyo Lyrics

Contents: Song Information
  • Song Title: Sitabaki Nilivyo
  • Album: Higher+Deeper (Live in Dar es Salaam)
  • Artist: Joel Lwaga
  • Released On: 01 Jul 2022
  • Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Joel Lwaga Sitabaki Nilivyo

Sitabaki Nilivyo Lyrics

Maisha haya, ninapita tu
Hali hii ya sasa ni kwa muda tu
Ushindi wangu, U karibu nami
Mtetezi wangu, yu hai .

Sitabaki kama nilivyo
Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo .

Najua nitapita tu
Sitamani za wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeswhi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite .

Mtetezi wangu
Yu hai (Yu hai)
Sitabaki kama nilivyo


Sitabaki Nilivyo Video

Sitabaki Nilivyo Lyrics -  Joel Lwaga

Joel Lwaga Songs

Related Songs