Mfalme mwema mwaminifu Bwana Umetukuka - Mtakatifu Song Lyrics

Israel Ezekia Sifa Music

Information for Artists

Watch Video for Mfalme mwema mwaminifu Bwana Umetukuka - Mtakatifu

Read lyrics

(leader)
Mfalme Mwema,Mwaminifu
Baba Mweza yote
Una nguvu Haushindwi
Pokea utukufu

(all)
Mfalme Mwema,Mwaminifu
Baba Mweza yote
Una nguvu Haushindwi
Pokea utukufu
(all)
Twakupa
Heshima na sifa zote
Ewe Mungu
Umetukuka

Twakupa
Heshima na sifa zote
Ewe Mungu
Umetukuka

Mtakatifu , mtakatifu
Bwana wa majeshi
Dunia Yote imejawa
na utukufu wako

Mtakatifu , mtakatifu
Bwana wa majeshi
Dunia Yote imejawa
na utukufu wako

Twakupa, Heshima na sifa zote
Ewe Mungu, Umetukuka


Twakupa, Heshima na sifa zote
Ewe Mungu, Umetukuka

Ewe Mungu, umetukuka
Ewe Mungu, umetukuka
Ewe Mungu, umetukuka
Ewe Mungu, umetukuka

Umetukuka ...

Tags: Stand, Lifted up, Sifa Lyrics

Other songs by Israel Ezekia,

Heshima Na Sifa
Wewe ni mwema

Related songs:

Swahili worship Songs - Nyimbo za kuabudu lyrics related to Mfalme mwema mwaminifu Bwana Umetukuka - Mtakatifu

Siri Ya Machozi Yangu Haya
Ebenezer Nani Kama Wewe
Tumekuja
Ametenda Maajabu
Ahadi Zake

From the Bible

Categories