UMETUKUKA TWAKUHESHIMU Song Lyrics

Isaac Kahura Sifa Music

Information for Artists

Watch Video for UMETUKUKA TWAKUHESHIMU

Read lyrics

Umetukuka twakuheshimu
Hakuna mwingine kama wewe
Wewe Mungu baba yangu
nakuinua nakuabudu

Wewe mwanzo tena mwisho
Sitwasikia yudah hutashindwa
Sauti yako twaielewa
Unaponena twasikia

Niseme nini nikuinue?
Niseme nini nikuabudu?
Wewe pekee wastahili,
Wewe pekee uinuliwe.

Umetukuka twakuheshimu
Hakuna mwingine kama wewe
Wewe Mungu baba yangu
nakuinua nakuabudu

Tags: Mercy, Baba, Sifa Lyrics

Other songs by Isaac Kahura,

Baba naomba kubarikiwa nawe

Related songs:

Swahili worship Songs - Nyimbo za kuabudu lyrics related to UMETUKUKA TWAKUHESHIMU

Wanishangaza
Unastahili Bwana Kupokea Utukufu
Kama Si Wewe
Nikufahamu Zaidi Bwana
Omba Omba utafute uso wa Bwana

From the Bible

Categories